Hosea 6:9
Kama wanyangʼanyi wamviziavyo mtu, 2 ndivyo magenge ya makuhani wafanyavyo; 1 wanaulia watu kwenye njia iendayo Shekemu, 2 wakifanya uhalifu wa aibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Gileadi ni mji wenye watu waovu, 2 umetiwa madoa kwa nyayo za damu. 1
Cross References
1 Kings 12:25Kisha Yeroboamu akajenga Shekemu akaizungushia ngome katika nchi ya vilima ya Efraimu na akaishi huko. Akatoka huko, akaenda akajenga Penueli. + 12:25 Jina lingine ni Penieli kwa Kiebrania.
Job 1:15Waseba wakawashambulia na kuchukua mifugo. Kisha wakawaua watumishi kwa upanga, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari!”
Jeremiah 7:9“ ‘Je, mtaiba na kuua, mtazini na kuapa kwa uongo, na kufukiza uvumba kwa Baali, na kufuata miungu mingine ambayo hamkuijua,
Ezekiel 22:9Ndani yako wako watu wasingiziaji, watu walio tayari kumwaga damu, ndani yako wako wale wanaokula vyakula vilivyotolewa mahali pa ibada za miungu kwenye milima, na kutenda matendo ya uasherati.
Hosea 5:1“Sikieni hili, enyi makuhani! 2 Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! 1 Sikieni, ee nyumba ya mfalme! 2 Hukumu hii ni dhidi yenu: 1 Mmekuwa mtego huko Mispa, 2 wavu uliotandwa juu ya Tabori. 1
Hosea 7:1kila mara nilipotaka kumponya Israeli, 2 dhambi za Efraimu zinafichuliwa 2 na maovu ya Samaria yanafunuliwa. 1 Wanafanya udanganyifu, 2 wevi huvunja nyumba, 2 maharamia hunyangʼanya barabarani, 1