Hosea 4:10
“Watakula lakini hawatashiba; 2 watajiingiza katika ukahaba 2 lakini hawataongezeka, 1 kwa sababu wamemwacha Bwana 2 na kujiingiza wenyewe 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11katika ukahaba, 1 divai ya zamani na divai mpya, 2 ambavyo huondoa ufahamu 2
Cross References
Leviticus 26:26Nitakapowaondolea upatikanaji wa mkate wenu, wanawake kumi wataoka mkate wenu katika tanuru moja, nao wataugawa mkate kidogo kwa kupima. Mtakula, lakini hamtashiba.
Psalms 36:3Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, 2 ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema. 1
Proverbs 13:25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, 2 bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Jeremiah 9:12Ni mtu yupi aliye na hekima ya kutosha ayaelewe haya? Ni nani aliyefundishwa na Bwana awezaye kuyaeleza haya? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa ukiwa kama jangwa ambapo hakuna awezaye kupita?
Ezekiel 18:24“Lakini kama mtu mwenye haki akiacha haki yake na kutenda dhambi na kufanya mambo ya machukizo ambayo mtu mwovu hufanya, Je, ataishi? Hakuna hata mojawapo ya matendo ya haki aliyotenda litakalokumbukwa. Kwa sababu ya kukosa uaminifu kwake anayo hatia na kwa sababu ya dhambi alizozitenda, atakufa.
Hosea 9:11Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: 2 hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, 2 hakuna kutunga mimba. 1