Hosea 4:9
Hata itakuwa: Kama walivyo watu, 2 ndivyo walivyo makuhani. 1 Nitawaadhibu wote wawili kwa ajili ya njia zao 2 na kuwalipa kwa matendo yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Hujilisha dhambi za watu wangu 2 na kupendezwa na uovu wao. 1
Cross References
Psalms 109:17Alipenda kulaani, 2 nayo laana ikampata; 1 hakupenda kubariki, 2 kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 1
Proverbs 11:31Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, 2 si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?
Isaiah 9:14Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, 2 tawi la mtende na tete katika siku moja. 1
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Jeremiah 23:11“Nabii na kuhani wote si wacha Mungu; 2 hata hekaluni mwangu ninaona uovu wao,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 44:10“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, watachukua adhabu ya dhambi zao.