Proverbs 11:31
Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, 2 si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, the righteous shall be recompensed in the earth: much more the wicked and the sinner.
In Context
30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima, 2 naye mwenye hekima huvuta roho za watu. 1
Cross References
2 Samuel 7:14Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
1 Kings 13:24Alipokuwa akienda akakutana na simba njiani, akamuua na maiti yake ikabwagwa barabarani, yule punda wake na simba wakiwa wamesimama karibu yake.
Proverbs 26:10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, 2 ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani. 1
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Ezekiel 44:10“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, watachukua adhabu ya dhambi zao.
1 Corinthians 11:30Hii ndiyo sababu wengi miongoni mwenu ni wagonjwa na dhaifu na wengine wenu hata wamekufa.