Hosea 5:4
“Matendo yao hayawaachii 2 kurudi kwa Mungu wao. 1 Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, 2 hawamkubali Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:12Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.
Psalms 36:1Kuna neno moyoni mwangu 2 kuhusu hali ya dhambi ya mwovu. 1 Hakuna hofu ya Mungu 2 mbele ya macho yake. 1
Jeremiah 9:6Unakaa katikati ya udanganyifu; 2 katika udanganyifu wao wanakataa kunitambua mimi,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 22:15“Je, inakufanya kuwa mfalme 2 huko kuongeza idadi ya mierezi? 1 Je, baba yako hakuwa na chakula na kinywaji? 2 Alifanya yaliyo sawa na haki, 2 hivyo yeye akafanikiwa katika yote. 1
Jeremiah 50:38Ukame juu ya maji yake! 2 Nayo yatakauka. 1 Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, 2 wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu. 1
Hosea 4:6watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1