The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 9 › Yeremia 9:6

Yeremia 9:6

Unakaa katikati ya udanganyifu; 2 katika udanganyifu wao wanakataa kunitambua mimi,” 4 asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thine habitation is in the midst of deceit; through deceit they refuse to know me, saith the LORD.

In Context

5Rafiki humdanganya rafiki, 2 hakuna yeyote asemaye kweli. 1 Wamefundisha ndimi zao kudanganya, 2 wanajichosha wenyewe katika kutenda dhambi. 1

7Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Tazama, nitawasafisha na kuwajaribu, 2 kwani ni nini kingine niwezacho kufanya 2 kwa sababu ya dhambi ya watu wangu? 1

Read all of Yeremia 9

Cross References

Psalms 120:2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo 2 na ndimi za udanganyifu. 1

Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1

Isaiah 4:4Bwana atausafisha uchafu wa wanawake wa Sayuni, atatakasa madoa ya damu kutoka Yerusalemu kwa Roho ya hukumu na Roho ya moto.

Jeremiah 8:5Kwa nini basi watu hawa walipotea? 2 Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? 1 Wanangʼangʼania udanganyifu 2 na wanakataa kurudi. 1

Jeremiah 13:10Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wafuatao ukaidi wa mioyo yao na kufuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu, watakuwa kama mkanda huu ambao haufai kabisa!

Jeremiah 20:10Ninasikia minongʼono mingi, 2 “Hofu iko pande zote! 2 Mshtakini! Twendeni tumshtaki!” 1 Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze, 2 wakisema, 1 “Labda atadanganyika; 2 kisha tutamshinda 2 na kulipiza kisasi juu yake.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 9:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 9:5Yeremia 9Yeremia 9:7 →