Hosea 5:6
Wakati wanapokwenda na makundi yao 2 ya kondoo na ngʼombe 2 kumtafuta Bwana, 1 hawatampata; 2 yeye amejiondoa kutoka kwao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 10:24Ndipo Farao akamwita Mose na kusema, “Nendeni, mkamwabudu Bwana. Hata wanawake na watoto wenu mwaweza kwenda nao pia, lakini kondoo, mbuzi na ngʼombe wenu waacheni.”
Proverbs 15:8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
Song of Solomon 5:6Nilimfungulia mpenzi wangu, 2 lakini mpenzi wangu alishaondoka; 2 alikuwa amekwenda zake. 1 Moyo wangu ulishuka kwa kuondoka kwake. 2 Nilimtafuta lakini sikumpata. 2 Nilimwita lakini hakunijibu. 1
Isaiah 66:3Lakini yeyote atoaye dhabihu ya fahali 2 ni kama yeye auaye mtu, 1 na yeyote atoaye sadaka ya mwana-kondoo, 2 ni kama yule avunjaye shingo ya mbwa. 1 Yeyote atoaye sadaka ya nafaka, 2 ni kama yule aletaye damu ya nguruwe, 1 na yeyote afukizaye uvumba wa kumbukumbu, 2 ni kama yule aabuduye sanamu. 1 Wamejichagulia njia zao wenyewe, 2 nazo nafsi zao zinafurahia machukizo yao. 1
Jeremiah 11:11Kwa hivyo, hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nitaleta juu yao maafa ambayo hawawezi kuyakimbia. Hata kama wakinililia, sitawasikiliza.
Ezekiel 8:6Ndipo akaniambia, “Mwanadamu, je, unaona yale wanayofanya, haya mambo ya machukizo kabisa nyumba ya Israeli wanayotenda hapa, ambayo yatanifanya niende mbali na mahali pangu patakatifu? Lakini utaona vitu ambavyo vinachukiza zaidi hata kuliko hivi.”