Hosea 5:8
“Pigeni tarumbeta huko Gibea, 2 baragumu huko Rama. 1 Paza kilio cha vita huko Beth-Aveni, + 5:8 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 2 ongoza, ee Benyamini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 5:14Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; 2 Benyamini akiwa miongoni 2 mwa watu waliokufuata. 1 Kutoka Makiri wakashuka viongozi, 2 na kutoka Zabuloni wale washikao 2 fimbo ya jemadari. 1
Judges 19:13Akasema, “Haya, tujitahidi tufike Gibea au Rama, nasi tutalala katika mji mmojawapo.”
1 Samuel 7:17Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.
1 Samuel 15:34Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli.
1 Kings 12:29Ndama mmoja akamweka Betheli na mwingine Dani.
Jeremiah 4:5“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema: 2 ‘Piga tarumbeta katika nchi yote!’ 1 Piga kelele na kusema: 2 ‘Kusanyikeni pamoja! 2 Tukimbilie katika miji yenye maboma!’ 1