The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 7 › Hosea 7:13

Hosea 7:13

Ole wao, kwa sababu 2 wamepotoka kutoka kwangu! 1 Maangamizi ni yao 2 kwa sababu wameniasi! 1 Ninatamani kuwakomboa, 2 lakini wanasema uongo dhidi yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe unto them! for they have fled from me: destruction unto them! because they have transgressed against me: though I have redeemed them, yet they have spoken lies against me.

In Context

12Wakati watakapokwenda, 2 nitatupa wavu wangu juu yao; 1 nitawavuta chini waanguke 2 kama ndege wa angani. 1 Nitakaposikia wakikusanyika pamoja, 2 nitawanasa. 1

14Hawanililii mimi kutoka mioyoni mwao, 2 bali wanaomboleza vitandani mwao. 1 Hukusanyika pamoja kwa ajili ya nafaka na divai mpya, 2 lakini hugeukia mbali nami. 1

Read all of Hosea 7

Cross References

Nehemiah 1:10“Hawa ni watumishi wako na watu wako, uliowakomboa kwa nguvu zako kuu na mkono wako wenye nguvu.

Job 22:17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1

Psalms 107:2Waliokombolewa wa Bwana na waseme hivi, 2 wale aliowaokoa kutoka mkono wa adui, 1

Isaiah 30:1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1

Isaiah 31:1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1

Isaiah 43:1Lakini sasa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuumba, ee Yakobo, 2 yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: 1 “Usiogope kwa maana nimekukomboa, 2 nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 7:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 7:12Hosea 7Hosea 7:14 →