Yeremia 18:13
Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ulizia miongoni mwa mataifa: 2 Ni nani alishasikia jambo kama hili? 1 Jambo la kutisha sana limefanywa 2 na Bikira Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 36:22Kisha Eliakimu mwana wa Hilkia msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna katibu, na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi wakamwendea Hezekia, nguo zao zikiwa zimeraruliwa, na kumwambia yale jemadari wa jeshi aliyoyasema.
Jeremiah 2:10Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu + 2:10 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. nawe uangalie, 2 tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, 2 uone kama kumekuwepo kitu kama hiki. 1
Jeremiah 5:30“Jambo la kutisha na kushtusha 2 limetokea katika nchi hii: 1
Jeremiah 23:14Nako miongoni mwa manabii wa Yerusalemu 2 nimeona jambo baya sana: 1 Wanafanya uzinzi 2 na kuenenda katika uongo. 1 Wanatia nguvu mikono ya watenda mabaya, 2 kwa ajili hiyo hakuna yeyote 2 anayeachana na uovu wake. 1 Wote wako kama Sodoma kwangu; 2 watu na Yerusalemu wako kama Gomora.”
Lamentations 1:15“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita 2 wote walio kati yangu, 1 ameagiza jeshi dhidi yangu 2 kuwaponda vijana wangu wa kiume. 1 Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga 2 Bikira Binti Yuda. 1
Amos 5:1Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi: 1