Proverbs 22:8
Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 2 nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that soweth iniquity shall reap vanity: and the rod of his anger shall fail.
In Context
7Matajiri huwatawala maskini 2 naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye. 1
9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1
Cross References
Job 4:8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, 2 wale walimao ubaya 1 na wale hupanda uovu, 2 huvuna hayo hayo hayo. 1
Proverbs 14:3Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake, 2 bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 1
Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Isaiah 14:29Msifurahi, enyi Wafilisti wote, 2 kwamba fimbo iliyowapiga imevunjika; 1 kutoka mzizi wa huyo nyoka 2 atachipuka nyoka mwenye sumu kali, 1 uzao wake utakuwa joka lirukalo, 2 lenye sumu kali. 1
Hosea 8:7“Wanapanda upepo 2 na kuvuna upepo wa kisulisuli. 1 Bua halina suke, 2 halitatoa unga. 1 Kama lingetoa nafaka, 2 wageni wangeila yote. 1
Galatians 6:7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.