Zekaria 11:8
Katika mwezi mmoja nikawaondoa wachungaji watatu. Kundi la kondoo likanichukia, nami nikachoshwa nao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia.
Leviticus 26:44Lakini pamoja na hili, wakati watakuwa katika nchi ya adui zao, sitawakataa wala kuwachukia kiasi cha kuwaharibu kabisa na kuvunja agano langu nao. Mimi ndimi Bwana Mungu wao.
1 Kings 11:25Rezoni alikuwa adui wa Israeli kwa muda wote alioishi Solomoni, ukiongezea matatizo yaliyosababishwa na Hadadi. Kwa hiyo Rezoni akatawala katika Aramu + 11:25 Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria). na alikuwa mkatili kwa Israeli. 1 Yeroboamu Anaasi Dhidi Ya Solomoni
Psalms 78:9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, 2 walikimbia siku ya vita. 1
Isaiah 49:7Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Mkombozi na Aliye Mtakatifu wa Israeli, 1 kwake yeye aliyedharauliwa na kuchukiwa na taifa, 2 kwa mtumishi wa watawala: 1 “Wafalme watakuona na kusimama, 2 wakuu wataona na kuanguka kifudifudi, 1 kwa sababu ya Bwana, aliye mwaminifu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, aliyekuchagua wewe.” 1 Kurejezwa Kwa Israeli
Jeremiah 14:21Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; 2 usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. 1 Kumbuka agano lako nasi 2 na usilivunje. 1