Isaiah 1:22
Fedha yenu imekuwa takataka, 2 divai yenu nzuri imechanganywa na maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thy silver is become dross, thy wine mixed with water:
In Context
Cross References
Jeremiah 6:30Wanaitwa fedha iliyokataliwa, 2 kwa sababu Bwana amewakataa.”
Ezekiel 22:18“Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa kwangu takataka ya chuma, wote kwangu wamekuwa shaba, bati, chuma na risasi iliyoachwa kalibuni. Wao ni taka ya madini ya fedha tu.
Hosea 6:4“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1