The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 1 › Isaya 1:27

Isaya 1:27

Sayuni itakombolewa kwa haki, 2 wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Zion shall be redeemed with judgment, and her converts with righteousness.

In Context

26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1

28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, 2 nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 1

Read all of Isaya 1

Cross References

Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1

Isaiah 63:4Kwa kuwa siku ya kisasi ilikuwa moyoni mwangu, 2 mwaka wa ukombozi wangu umefika. 1

Romans 11:26Hivyo Israeli wote wataokolewa. Kama ilivyoandikwa: 1 “Mkombozi atakuja kutoka Sayuni; 2 ataondoa kutokumcha Mungu katika Yakobo. 1

2 Corinthians 5:21Kwa maana Mungu alimfanya yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kufanywa haki ya Mungu kwake yeye.

Titus 2:14Ndiye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe kutoka uovu wote na kujisafishia watu kuwa mali yake Mwenyewe, yaani, wale walio na juhudi katika kutenda mema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 1:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 1:26Isaya 1Isaya 1:28 →