The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:30

Isaiah 1:30

Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, 2 kama bustani isiyokuwa na maji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For ye shall be as an oak whose leaf fadeth, and as a garden that hath no water.

In Context

29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni 2 ambayo mlifurahia, 1 mtafadhaika kwa sababu ya bustani 2 mlizozichagua. 1

31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Read all of Isaiah 1

Cross References

Isaiah 58:11Bwana atakuongoza siku zote, 2 atayatosheleza mahitaji yako katika nchi kame, 2 naye ataitia nguvu mifupa yako. 1 Utakuwa kama bustani iliyonyweshwa vizuri, 2 kama chemchemi ambayo maji yake hayakauki kamwe. 1

Jeremiah 17:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, 2 ategemeaye mwenye mwili 2 kwa ajili ya nguvu zake, 1 ambaye moyo wake 2 umemwacha Bwana. 1

Ezekiel 17:9“Waambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Je, utastawi? Je, hautangʼolewa na kuondolewa matunda yake, ili uweze kunyauka? Majani yake mapya yanayochipua yote yatanyauka. Hautahitaji mkono wenye nguvu au watu wengi kuungʼoa na mizizi yake.

Ezekiel 31:4Maji mengi yaliustawisha, 2 chemchemi zenye maji mengi ziliufanya urefuke; 1 vijito vyake vilitiririka pale 2 ulipoota pande zote 1 na kupeleka mifereji yake 2 kwenye miti yote ya shambani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:29Isaiah 1Isaiah 1:31 →