Isaya 1:5
Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Nehemiah 9:34Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako. Hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa.
Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Isaiah 31:6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.
Jeremiah 2:30“Nimeadhibu watu wako bure tu, 2 hawakujirekebisha. 1 Upanga wako umewala manabii wako 2 kama simba mwenye njaa.
Jeremiah 5:5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1
Jeremiah 6:28Wote ni waasi sugu, 2 wakienda huku na huko kusengenya. 1 Wao ni shaba na chuma, 2 wote wanatenda upotovu. 1