Isaya 10:15
Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 17:13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, 2 niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 1
Isaiah 29:16Mnapindua mambo juu chini, 2 kana kwamba mfinyanzi aweza kufikiriwa kuwa kama udongo wa mfinyanzi! 1 Je, kile kilichofinyangwa chaweza kumwambia yule aliyekifinyanga, 2 “Wewe hukunifinyanga mimi?” 1 Je, chungu kinaweza kumwambia mfinyanzi, 2 “Wewe hujui chochote?” 1
Isaiah 45:9“Ole wake yeye ashindanaye na Muumba wake, 2 yeye ambaye ni kigae tu kati ya vigae juu ya ardhi. 1 Je, udongo wa kufinyangia humwambia mfinyanzi, 2 ‘Unatengeneza nini wewe?’ 2 Je, kazi yako husema, 1 ‘Hana mikono’? 1
Ezekiel 28:9Je, wakati huo utasema, “Mimi ni mungu,” 2 mbele ya wale wanaokuua? 1 Utakuwa mwanadamu tu, wala si mungu, 2 mikononi mwa hao wanaokuua. 1