Isaya 10:18
Fahari ya misitu yake na mashamba yenye rutuba 2 utateketeza kabisa, 2 kama vile mtu mgonjwa adhoofikavyo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 19:23Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 “Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizo mbali sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1
Isaiah 9:18Hakika uovu huwaka kama moto; 2 huteketeza michongoma na miiba, 1 huwasha moto vichaka vya msituni, 2 hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 1
Jeremiah 21:14Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, 4 asema Bwana. 1 Nitawasha moto katika misitu yenu 2 ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”