Isaya 10:17
Nuru ya Israeli itakuwa moto, 2 Aliye Mtakatifu wao mwali wa moto; 1 katika siku moja utaunguza na kuteketeza miiba 2 na michongoma yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 11:1Basi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi.
Deuteronomy 4:24Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Psalms 21:9Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1
Psalms 50:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, 2 moto uteketezao unamtangulia, 2 akiwa amezungukwa na tufani kali. 1
Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1
Isaiah 9:18Hakika uovu huwaka kama moto; 2 huteketeza michongoma na miiba, 1 huwasha moto vichaka vya msituni, 2 hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 1