The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 9 › Isaiah 9:18

Isaiah 9:18

Hakika uovu huwaka kama moto; 2 huteketeza michongoma na miiba, 1 huwasha moto vichaka vya msituni, 2 hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For wickedness burneth as the fire: it shall devour the briers and thorns, and shall kindle in the thickets of the forest, and they shall mount up like the lifting up of smoke.

In Context

17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

19Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1

Read all of Isaiah 9

Cross References

Numbers 11:1Basi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi.

1 Kings 16:21Ndipo watu wa Israeli wakagawanyika katika makundi mawili, nusu wakamuunga mkono Tibni mwana wa Ginathi ili awe mfalme na nusu nyingine wakamuunga mkono Omri.

Psalms 37:20Lakini waovu wataangamia: 2 Adui za Bwana watakuwa 2 kama uzuri wa mashamba, 1 watatoweka, 2 watatoweka kama moshi. 1

Isaiah 1:31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Isaiah 5:24Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi, 2 na kama vile majani makavu yazamavyo katika miali ya moto, 1 ndivyo mizizi yao itakavyooza 2 na maua yao yatakavyopeperushwa kama mavumbi; 1 kwa kuwa wameikataa sheria ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 na kulisukumia mbali neno la Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 27:4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 9:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 9:17Isaiah 9Isaiah 9:19 →