The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:21

Isaiah 10:21

Mabaki watarudi, + 10:21 Kiebrania ni Shear-Yashubu, pia 22. mabaki wa Yakobo 2 watamrudia Mungu Mwenye Nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The remnant shall return, even the remnant of Jacob, unto the mighty God.

In Context

20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1

Read all of Isaiah 10

Cross References

Isaiah 7:3Ndipo Bwana akamwambia Isaya, “Toka uende, wewe na mwanao Shear-Yashubu, + 7:3 Shear-Yashubu maana yake Mabaki Watarudi. mkutane na Ahazi huko mwisho wa mfereji wa Bwawa la Juu, kwenye barabara iendayo Shamba la Dobi.

Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Isaiah 37:31Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1

Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.

Jeremiah 50:20Katika siku hizo, wakati huo,” 2 asema Bwana, 1 “uchunguzi utafanyika kwa ajili ya kosa la Israeli, 2 lakini halitakuwepo, 1 kwa ajili ya dhambi za Yuda, 2 lakini haitapatikana hata moja, 1 kwa kuwa nitawasamehe 2 mabaki nitakaowaacha. 1

Hosea 7:10Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, 2 lakini pamoja na haya yote 1 harudi kwa Bwana Mungu wake 2 wala kumtafuta. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:20Isaiah 10Isaiah 10:22 →