The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 37 › Isaiah 37:31

Isaiah 37:31

Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the remnant that is escaped of the house of Judah shall again take root downward, and bear fruit upward:

In Context

30“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1

32Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, 2 na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 ndio utatimiza jambo hili.

Read all of Isaiah 37

Cross References

2 Kings 19:30Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1

Isaiah 1:9Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote + 1:9 Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4. 2 asingelituachia walionusurika, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora. 1

Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1

Isaiah 65:9Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, 2 na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, 1 nao watu wangu wateule watairithi, 2 nako huko wataishi watumishi wangu. 1

Jeremiah 44:28Wale watakaonusurika upanga na kurudi katika nchi ya Yuda kutoka Misri watakuwa wachache sana. Ndipo mabaki wote wa Yuda waliokuja kuishi Misri watakapojua ni neno la nani litakalosimama, kwamba ni langu au lao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 37:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 37:30Isaiah 37Isaiah 37:32 →