Isaiah 4:3
Wale watakaoachwa Sayuni, watakaobaki Yerusalemu, wataitwa watakatifu, wale wote ambao wameorodheshwa miongoni mwa walio hai huko Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 69:28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima 2 na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki. 1
Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”
Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1
Ezekiel 36:24“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarudisha kwenye nchi yenu wenyewe.
Zechariah 14:2Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini.
Luke 10:20Basi, msifurahi kwa kuwa pepo wachafu wanawatii, bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni.” 1 Yesu Anashangilia (Mathayo 11:25-27; 13:16-17)