The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 9 › Isaiah 9:4

Isaiah 9:4

Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thou hast broken the yoke of his burden, and the staff of his shoulder, the rod of his oppressor, as in the day of Midian.

In Context

3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1

5Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani, 2 na kila vazi lililovingirishwa katika damu 1 vitawekwa kwa ajili ya kuchomwa, 2 vitakuwa kuni za kuwasha moto. 1

Read all of Isaiah 9

Cross References

Leviticus 26:13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 1 Adhabu Ya Kutokutii (Kumbukumbu 28:15-68)

Judges 7:22Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera + 7:22 Au: Seretha. hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.

Psalms 83:9Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, 2 na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini 2 hapo kijito cha Kishoni, 1

Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1

Isaiah 10:26Bwana Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi, 2 kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu, 1 naye atainua fimbo yake juu ya maji, 2 kama alivyofanya huko Misri. 1

Isaiah 14:25Nitamponda Mwashuru katika nchi yangu, 2 juu ya milima yangu nitawakanyagia chini. 1 Nira yake itaondolewa kutoka kwa watu wangu, 2 nao mzigo wake utaondolewa kutoka mabegani mwao.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 9:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 9:3Isaiah 9Isaiah 9:5 →