The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:26

Isaya 10:26

Bwana Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi, 2 kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu, 1 naye atainua fimbo yake juu ya maji, 2 kama alivyofanya huko Misri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD of hosts shall stir up a scourge for him according to the slaughter of Midian at the rock of Oreb: and as his rod was upon the sea, so shall he lift it up after the manner of Egypt.

In Context

25Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma, 2 na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 1

27Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu, 2 na nira yao kutoka shingoni mwenu; 1 nira itavunjwa 2 kwa sababu ya kutiwa mafuta. 1

Read all of Isaya 10

Cross References

Exodus 14:16Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.

Judges 7:25Wakawakamata wakuu wawili wa Midiani, Orebu na Zeebu. Wakamuulia Orebu pale penye mwamba wa Orebu, na Zeebu wakamuulia penye shinikizo la kukamulia divai la Zeebu. Wakawafuatia Wamidiani na kuleta vichwa vya Orebu na Zeebu kwa Gideoni, huko ngʼambo ya Yordani.

Nehemiah 9:10Ulituma ishara za miujiza na maajabu dhidi ya Farao, dhidi ya maafisa wake wote na watu wote wa nchi yake, kwa kuwa ulifahamu jinsi Wamisri walivyowafanyia ufidhuli. Ukajifanyia jina linalodumu hadi leo.

Psalms 83:11Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, 2 watawala wao kama Zeba na Salmuna, 1

Isaiah 9:3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1

Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:25Isaya 10Isaya 10:27 →