The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:27

Isaya 10:27

Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu, 2 na nira yao kutoka shingoni mwenu; 1 nira itavunjwa 2 kwa sababu ya kutiwa mafuta. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall come to pass in that day, that his burden shall be taken away from off thy shoulder, and his yoke from off thy neck, and the yoke shall be destroyed because of the anointing.

In Context

26Bwana Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi, 2 kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu, 1 naye atainua fimbo yake juu ya maji, 2 kama alivyofanya huko Misri. 1

28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1

Read all of Isaya 10

Cross References

Leviticus 7:35Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, ambazo zilitengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu ili kumtumikia Bwana katika kazi ya ukuhani.

2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.

Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1

Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1

Psalms 89:20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, 2 na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 1

Psalms 132:10Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, 2 usimkatae mpakwa mafuta wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:26Isaya 10Isaya 10:28 →