Isaiah 10:7
Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1
Cross References
Genesis 50:20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.
Isaiah 36:19Iko wapi miungu ya Hamathi na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu? Je, imeokoa Samaria kutoka mkononi mwangu?
Isaiah 37:19Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Micah 4:11Lakini sasa mataifa mengi 2 yamekusanyika dhidi yako. 1 Wanasema, “Mwache anajisiwe, 2 macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!” 1
Acts 2:23Huyu mtu akiisha kutolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa kwa kujua kwake Mungu tangu zamani, ninyi, kwa mikono ya watu wabaya, mlimuua kwa kumgongomea msalabani.