The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 11 › Isaya 11:12

Isaya 11:12

Atainua bendera kwa mataifa 2 na kuwakusanya Waisraeli walioko uhamishoni; 1 atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika 2 kutoka pembe nne za dunia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he shall set up an ensign for the nations, and shall assemble the outcasts of Israel, and gather together the dispersed of Judah from the four corners of the earth.

In Context

11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

13Wivu wa Efraimu utatoweka, 2 na adui wa Yuda watakatiliwa mbali; 1 Efraimu hatamwonea Yuda wivu, 2 wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu. 1

Read all of Isaya 11

Cross References

Psalms 68:22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani; 2 nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 1

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

Isaiah 27:13Katika siku ile tarumbeta kubwa italia. Wale waliokuwa wakiangamia katika nchi ya Ashuru, nao wale waliokuwa uhamishoni katika nchi ya Misri watakuja na kumwabudu Bwana katika mlima mtakatifu huko Yerusalemu.

Isaiah 49:11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1

Isaiah 49:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Tazama, nitawaashiria watu wa Mataifa, 2 nitainua bendera yangu kwa mataifa; 1 watawaleta wana wako mikononi yao, 2 na kuwabeba binti zenu juu ya mabega yao. 1

Isaiah 59:19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 11:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 11:11Isaya 11Isaya 11:13 →