The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 11 › Isaiah 11:3

Isaiah 11:3

naye atafurahia kumcha Bwana. 1 Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, 2 wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And shall make him of quick understanding in the fear of the LORD: and he shall not judge after the sight of his eyes, neither reprove after the hearing of his ears:

In Context

2Roho wa Bwana atakaa juu yake, 2 Roho wa hekima na wa ufahamu, 2 Roho wa shauri na wa uweza, 2 Roho wa maarifa na wa kumcha Bwana 1

4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1

Read all of Isaiah 11

Cross References

2 Samuel 14:8Mfalme akamwambia huyo mwanamke, “Nenda nyumbani, nami nitatoa agizo kwa ajili yako.”

1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”

Job 12:11Je, sikio haliyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula? 1

Proverbs 2:5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana 2 na kupata maarifa ya Mungu. 1

Isaiah 33:6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1

John 2:25Hakuhitaji ushuhuda wa mtu yeyote kuhusu mtu, kwa kuwa alijua yote yaliyokuwa moyoni mwa mtu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 11:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 11:2Isaiah 11Isaiah 11:4 →