Ayubu 12:11
Je, sikio haliyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth not the ear try words? and the mouth taste his meat?
In Context
10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, 2 na pumzi ya wanadamu wote. 1
12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? 2 Je, maisha marefu hayaleti ufahamu? 1
Cross References
Job 34:3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula. 1
Philippians 1:10ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo,
1 Peter 2:3ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema.