The Bible Software
bible.software › Nahumu › Nahumu 3 › Nahumu 3:10

Nahumu 3:10

Hata hivyo alichukuliwa mateka 2 na kwenda uhamishoni. 1 Watoto wake wachanga walivunjwa vunjwa vipande 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1 Kura zilipigwa kwa watu wake wenye heshima, 2 na watu wake wote wakuu walifungwa kwa minyororo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yet was she carried away, she went into captivity: her young children also were dashed in pieces at the top of all the streets: and they cast lots for her honourable men, and all her great men were bound in chains.

In Context

9Kushi + 3:9 Kushi ni Ethiopia. na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; 2 Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye. 1

11Wewe pia utalewa; 2 utakwenda mafichoni 2 na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui. 1

Read all of Nahumu 3

Cross References

2 Kings 8:12Hazaeli akauliza “Kwa nini bwana wangu analia?” Elisha akajibu, “Kwa sababu najua mabaya utakayowatendea Waisraeli. Utachoma moto ngome zao, utawaua vijana wao kwa upanga, kuwatupa chini kwa nguvu watoto wachanga, na kuwatumbua wanawake wenye mimba.”

Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1

Isaiah 13:16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1

Lamentations 2:19Inuka, lia usiku, 2 zamu za usiku zianzapo; 1 mimina moyo wako kama maji 2 mbele za Bwana. 1 Mwinulie yeye mikono yako 2 kwa ajili ya maisha ya watoto wako, 1 ambao wanazimia kwa njaa 2 kwenye kila mwanzo wa barabara. 1

Ezekiel 29:7Walipokushika kwa mikono yao, ulivunjika na kuchana mabega yao; walipokuegemea, ulivunjika na migongo yao ikateguka.

Joel 3:3Wanawapigia kura watu wangu 2 na kuwauza wavulana ili kupata makahaba; 1 waliwauza wasichana 2 ili wapate kunywa mvinyo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 3:9Nahumu 3Nahumu 3:11 →