Isaiah 13:18
Mishale yao itawaangusha vijana, 2 hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga 2 wala hawataangalia watoto kwa huruma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, 2 ambao hawajali fedha 2 wala hawafurahii dhahabu. 1
Cross References
2 Kings 8:12Hazaeli akauliza “Kwa nini bwana wangu analia?” Elisha akajibu, “Kwa sababu najua mabaya utakayowatendea Waisraeli. Utachoma moto ngome zao, utawaua vijana wao kwa upanga, kuwatupa chini kwa nguvu watoto wachanga, na kuwatumbua wanawake wenye mimba.”
Isaiah 13:16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1
Ezekiel 9:10Kwa hiyo sitawahurumia wala kuwaachilia lakini nitaleta juu ya vichwa vyao, yale waliyoyatenda.”
Hosea 13:16Watu wa Samaria ni lazima wabebe hatia yao, 2 kwa sababu wameasi dhidi ya Mungu wao. 1 Wataanguka kwa upanga; 2 watoto wao wadogo watatupwa kwa nguvu ardhini, 2 wanawake wao walio na mimba watatumbuliwa.”
Nahum 3:10Hata hivyo alichukuliwa mateka 2 na kwenda uhamishoni. 1 Watoto wake wachanga walivunjwa vunjwa vipande 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1 Kura zilipigwa kwa watu wake wenye heshima, 2 na watu wake wote wakuu walifungwa kwa minyororo. 1