The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:10

Isaiah 13:10

Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the stars of heaven and the constellations thereof shall not give their light: the sun shall be darkened in his going forth, and the moon shall not cause her light to shine.

In Context

9Tazameni, siku ya Bwana inakuja, 2 siku katili, yenye ghadhabu na hasira kali, 1 kuifanya nchi kuwa ukiwa 2 na kuwaangamiza wenye dhambi waliomo ndani yake. 1

11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

Isaiah 24:23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.

Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1

Joel 2:10Mbele yao dunia inatikisika, 2 anga linatetemeka, 1 jua na mwezi vinatiwa giza, 2 na nyota hazitoi mwanga wake tena. 1

Joel 3:15Jua na mwezi vitatiwa giza, 2 na nyota hazitatoa mwanga wake tena. 1

Zephaniah 1:15Siku ile ni siku ya ghadhabu, 2 siku ya fadhaa na dhiki, 1 siku ya uharibifu na ukiwa, 2 siku ya giza na utusitusi, 2 siku ya mawingu na giza nene, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:9Isaiah 13Isaiah 13:11 →