Isaiah 14:13
Ulisema moyoni mwako, 2 “Nitapanda juu hadi mbinguni, 1 nitakiinua kiti changu cha enzi 2 juu ya nyota za Mungu, 1 nitaketi nimetawazwa 2 juu ya mlima wa kusanyiko, 2 kwenye vimo vya juu sana vya Mlima Mtakatifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Nitapaa juu kupita mawingu, 2 nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 1
Cross References
Job 20:6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni 2 na kichwa chake hugusa mawingu, 1
Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.
Ezekiel 27:3Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Ee Tiro, wewe umesema, 2 “Mimi ni mkamilifu katika uzuri.” 1
Ezekiel 28:9Je, wakati huo utasema, “Mimi ni mungu,” 2 mbele ya wale wanaokuua? 1 Utakuwa mwanadamu tu, wala si mungu, 2 mikononi mwa hao wanaokuua. 1
Ezekiel 28:14Ulitiwa mafuta kuwa kerubi mlinzi, 2 kwa kuwa hivyo ndivyo nilivyokuweka wakfu. 1 Ulikuwa kwenye mlima mtakatifu wa Mungu; 2 ulitembea katikati ya vito vya moto. 1
Daniel 4:30alisema, “Je, huu si Babeli mji mkuu nilioujenga kama makao ya kifalme, kwa uwezo wangu mkubwa, na kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?”