Isaya 14:19
Lakini wewe umetupwa nje ya kaburi lako 2 kama tawi lililokataliwa, 1 umefunikwa na waliouawa 2 pamoja na wale waliochomwa kwa upanga, 1 wale washukao mpaka 2 kwenye mawe ya shimo. 1 Kama mzoga uliokanyagwa chini ya nyayo, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima 2 kila mmoja katika kaburi lake. 1
Cross References
1 Kings 21:19Umwambie, ‘Hivi ndivyo Bwana asemavyo: Je, hujamuua mtu na kuitwaa mali yake?’ Kisha umwambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Mahali ambapo mbwa waliramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba damu yako, naam, yako wewe!’ ”
2 Kings 9:25Yehu akamwambia Bidkari, mwendeshaji wa gari lake, “Mwinue na umtupe katika shamba lililokuwa mali ya Nabothi, Myezreeli. Kumbuka jinsi mimi na wewe tulivyokuwa tukiendesha pamoja magari yetu nyuma ya Ahabu baba yake, wakati Bwana alipotoa unabii huu kumhusu:
Isaiah 22:16Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa 2 kujikatia kaburi lako mwenyewe, 1 ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, 2 na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba? 1
Jeremiah 16:6“Wakubwa na wadogo watakufa katika nchi hii. Hawatazikwa wala kuombolezewa, na hakuna atakayejikatakata au kunyoa nywele za kichwa chake kwa ajili yao.
Jeremiah 41:7Walipoingia mjini, Ishmaeli mwana wa Nethania na wale watu waliokuwa pamoja naye wakawachinja na kuwatupa ndani ya kisima.
Ezekiel 32:23Makaburi yao yako kwenye kina cha chini cha shimo na jeshi lake limelala kulizunguka kaburi lake. Wote waliokuwa wameeneza hofu kuu katika nchi ya walio hai wameuawa, wameanguka kwa upanga.