Isaya 14:26
Huu ndio mpango uliokusudiwa kwa ajili ya ulimwengu wote, 2 huu ni mkono ulionyooshwa juu ya mataifa yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 23:11Bwana amenyoosha mkono wake juu ya bahari 2 na kuzifanya falme zake zitetemeke. 1 Ametoa amri kuhusu Kanaani 2 kwamba ngome zake ziangamizwe. 1
Zephaniah 3:6“Nimeyafutilia mbali mataifa, 2 ngome zao zimebomolewa. 1 Nimeziacha barabara ukiwa, 2 hakuna anayepita humo. 1 Miji yao imeharibiwa; 2 hakuna mmoja atakayeachwa: 2 hakuna hata mmoja. 1