Isaya 14:25
Nitamponda Mwashuru katika nchi yangu, 2 juu ya milima yangu nitawakanyagia chini. 1 Nira yake itaondolewa kutoka kwa watu wangu, 2 nao mzigo wake utaondolewa kutoka mabegani mwao.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 32:21Naye Bwana akamtuma malaika ambaye aliangamiza wanajeshi wote, na viongozi na maafisa katika kambi ya mfalme wa Ashuru. Kwa hiyo, mfalme wa Ashuru akarudi nchini mwake kwa aibu. Naye alipokwenda katika hekalu la mungu wake, baadhi ya watoto wake wakamuua kwa upanga.
Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”
Isaiah 10:24Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Enyi watu wangu mkaao Sayuni, 2 msiwaogope Waashuru, 1 wanaowapiga ninyi kwa fimbo 2 na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 1
Isaiah 10:32Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1
Isaiah 17:12Lo! Ghadhabu ya mataifa mengi, 2 wanaghadhibika kama bahari iliyochafuka! 1 Lo! Makelele ya mataifa 2 wanavuma kama ngurumo za maji mengi! 1
Isaiah 31:8“Ashuru itaanguka kwa upanga ambao si wa mwanadamu; 2 upanga usio wa kibinadamu utawaangamiza. 1 Watakimbia mbele ya upanga 2 na vijana wao wa kiume watafanyizwa kazi kwa lazima. 1