The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 23 › Isaya 23:11

Isaya 23:11

Bwana amenyoosha mkono wake juu ya bahari 2 na kuzifanya falme zake zitetemeke. 1 Ametoa amri kuhusu Kanaani 2 kwamba ngome zake ziangamizwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He stretched out his hand over the sea, he shook the kingdoms: the LORD hath given a commandment against the merchant city, to destroy the strong holds thereof.

In Context

10Ee Binti Tarshishi, 2 pita katika nchi yako kama vile Mto Naili 2 kwa kuwa huna tena bandari. 1

12Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1

Read all of Isaya 23

Cross References

Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,

Exodus 14:21Ndipo Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, naye Bwana akayasukuma maji ya bahari nyuma kwa upepo mkali wa mashariki usiku ule wote na kupafanya nchi kavu. Maji yakagawanyika,

Psalms 46:6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, 2 Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 1

Isaiah 2:19Watu watakimbilia kwenye mapango ndani ya miamba, 2 na kwenye mahandaki ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1

Isaiah 14:16Wale wanaokuona wanakukazia macho, 2 wanatafakari hatima yako: 1 “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia 2 na kufanya falme zitetemeke, 1

Isaiah 23:3Kwenye maji makuu 2 nafaka za Shihori zilikuja; 1 mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, 2 naye akawa soko la mataifa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 23:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 23:10Isaya 23Isaya 23:12 →