The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 16 › Isaiah 16:6

Isaiah 16:6

Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu: 2 kiburi chake cha kujivuna na udanganyifu, 1 kiburi chake na ufidhuli wake, 2 lakini majivuno yake si kitu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

We have heard of the pride of Moab; he is very proud: even of his haughtiness, and his pride, and his wrath: but his lies shall not be so.

In Context

5Kwa upendo kiti cha enzi kitaimarishwa, 2 kwa uaminifu mtu ataketi juu yake, 2 yeye atokaye nyumba ya Daudi: 1 yeye ambaye katika kuhukumu hutafuta haki, 2 na huhimiza njia ya haki. 1

7Kwa hiyo Wamoabu wanaomboleza, 2 wanaiombolezea Moabu kwa pamoja. 1 Wanaomboleza na kuhuzunika 2 kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 1

Read all of Isaiah 16

Cross References

Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1

Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”

Isaiah 44:25“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, 2 na kuwatia upumbavu waaguzi, 1 niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, 2 na kuyafanya kuwa upuzi, 1

Jeremiah 48:26“Mlevye, 2 kwa kuwa amemdharau Bwana. 1 Moabu na agaegae katika matapishi yake, 2 yeye na awe kitu cha dhihaka. 1

Jeremiah 48:42Moabu ataangamizwa kama taifa 2 kwa sababu amemdharau Bwana. 1

Amos 2:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Moabu, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu alichoma mifupa ya mfalme wa Edomu, 2 ikawa kama chokaa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 16:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 16:5Isaiah 16Isaiah 16:7 →