Isaya 16:14
Lakini sasa Bwana anasema: “Katika miaka mitatu, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, fahari ya Moabu na watu wake wengi watadharauliwa, nao walionusurika watakuwa wachache sana, tena wanyonge.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Hili ndilo neno ambalo Bwana ameshasema kuhusu Moabu.
Cross References
Deuteronomy 15:8Afadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.
Job 7:1“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? 2 Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? 1
Isaiah 15:5Moyo wangu unamlilia Moabu; 2 wakimbizi wake wanakimbilia Soari, 2 hadi Eglath-Shelishiya. 1 Wanapanda njia ya kwenda Luhithi, 2 wanakwenda huku wanalia; 1 barabarani iendayo Horonaimu 2 wanaombolezea maangamizi yao. 1
Isaiah 21:16Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.
Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1
Jeremiah 48:42Moabu ataangamizwa kama taifa 2 kwa sababu amemdharau Bwana. 1