Isaiah 24:7
Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The new wine mourneth, the vine languisheth, all the merryhearted do sigh.
In Context
8Furaha ya matoazi imekoma, 2 kelele za wenye furaha zimekoma, 2 shangwe za kinubi zimenyamaza. 1
Cross References
Isaiah 16:10Furaha na shangwe zimeondolewa 2 kutoka mashamba ya matunda; 1 hakuna yeyote aimbaye wala apazaye sauti 2 katika mashamba ya mizabibu; 1 hakuna yeyote akanyagaye zabibu shinikizoni, 2 kwa kuwa nimekomesha makelele. 1
Isaiah 32:10Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja, 2 ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, 1 mavuno ya zabibu yatakoma 2 na mavuno ya matunda hayatakuwepo. 1
Ezekiel 6:14Nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yao na kuifanya nchi yao ukiwa, kuanzia jangwani hadi Dibla, kila mahali wanapoishi. Ndipo watakapojua ya kwamba Mimi ndimi Bwana.’ ”
Joel 1:10Mashamba yameharibiwa, 2 ardhi imekauka; 1 nafaka imeharibiwa, 2 mvinyo mpya umekauka, 2 mafuta yamekoma. 1