The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 6 › Yeremia 6:23

Yeremia 6:23

Wamejifunga pinde na mkuki, 2 ni wakatili na hawana huruma. 1 Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma 2 wanapoendesha farasi zao. 1 Wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita 2 ili kukushambulia, ee Binti Sayuni.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall lay hold on bow and spear; they are cruel, and have no mercy; their voice roareth like the sea; and they ride upon horses, set in array as men for war against thee, O daughter of Zion.

In Context

22Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Tazama, jeshi linakuja 2 kutoka nchi ya kaskazini, 1 taifa kubwa linaamshwa 2 kutoka miisho ya dunia. 1

24Tumesikia taarifa zao, 2 nayo mikono yetu imelegea. 1 Uchungu umetushika, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Read all of Yeremia 6

Cross References

Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

Isaiah 19:4Nitawatia Wamisri 2 mikononi mwa bwana mkatili 1 na mfalme mkali atatawala juu yao,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Jeremiah 4:16“Waambie mataifa jambo hili, 2 piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: 1 ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, 2 likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda. 1

Jeremiah 5:16Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, 2 wote ni mashujaa hodari wa vita. 1

Jeremiah 25:32Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Tazama! Maafa yanaenea 2 kutoka taifa moja hadi jingine; 1 tufani kubwa inainuka 2 kutoka miisho ya dunia.”

Jeremiah 50:41“Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; 2 taifa kubwa na wafalme wengi 2 wanaamshwa kutoka miisho ya dunia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 6:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 6:22Yeremia 6Yeremia 6:24 →