The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 17 › Isaiah 17:13

Isaiah 17:13

Ingawa mataifa yanavuma kama ngurumo za maji yanayofanya mawimbi, 2 wakati anapoyakemea yanakimbia mbali, 1 yanafukuzwa mbele ya upepo kama makapi juu ya milima, 2 kama jani livingirishwapo na dhoruba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The nations shall rush like the rushing of many waters: but God shall rebuke them, and they shall flee far off, and shall be chased as the chaff of the mountains before the wind, and like a rolling thing before the whirlwind.

In Context

12Lo! Ghadhabu ya mataifa mengi, 2 wanaghadhibika kama bahari iliyochafuka! 1 Lo! Makelele ya mataifa 2 wanavuma kama ngurumo za maji mengi! 1

14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.

Read all of Isaiah 17

Cross References

Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1

Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1

Psalms 35:5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, 2 malaika wa Bwana akiwafukuza. 1

Psalms 65:8Wale wanaoishi mbali sana 2 wanaogopa maajabu yako, 1 kule asubuhi ipambazukiapo 2 na kule jioni inakofifilia 2 umeziita nyimbo za furaha. 1

Psalms 83:14Kama vile moto uteketezavyo msitu 2 au mwali wa moto unavyounguza milima, 1

Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 17:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 17:12Isaiah 17Isaiah 17:14 →