The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 19 › Isaya 19:12

Isaya 19:12

Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? 2 Wao wakuonyeshe na kukufahamisha 1 ni nini Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 amepanga dhidi ya Misri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Where are they? where are thy wise men? and let them tell thee now, and let them know what the LORD of hosts hath purposed upon Egypt.

In Context

11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1

13Maafisa wa Soani wamekuwa wapumbavu, 2 viongozi wa Memfisi + 19:13 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. wamedanganyika, 1 walio mawe ya pembe ya taifa lake 2 wameipotosha Misri. 1

Read all of Isaya 19

Cross References

Judges 9:38Ndipo Zebuli akamwambia, “Kuko wapi kujivuna kwako sasa, wewe uliyesema, ‘Huyo Abimeleki ni nani hata tumtumikie?’ Hawa si wale watu uliowadharau? Toka nje sasa ukapigane nao!”

Isaiah 5:21Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe, 2 na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe. 1

Isaiah 40:13Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana, 2 au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? 1

Isaiah 41:23tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, 2 ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. 1 Fanyeni jambo lolote zuri au baya, 2 ili tupate kutishika na kujazwa na hofu. 1

Isaiah 47:10Umeutegemea uovu wako, 2 nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ 1 Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza 2 unapojiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ 1

Obadiah 1:8“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 2 “je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu, 2 watu wenye ufahamu katika milima ya Esau? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 19:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 19:11Isaya 19Isaya 19:13 →