The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 19 › Isaiah 19:2

Isaiah 19:2

“Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, 2 ndugu atapigana dhidi ya ndugu, 2 jirani dhidi ya jirani, 2 mji dhidi ya mji, 2 ufalme dhidi ya ufalme. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will set the Egyptians against the Egyptians: and they shall fight every one against his brother, and every one against his neighbour; city against city, and kingdom against kingdom.

In Context

1Neno kuhusu Misri: 1 Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka 2 naye anakuja Misri. 1 Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, 2 nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 1

3Wamisri watakufa moyo, 2 na nitaibatilisha mipango yao. 1 Watatafuta ushauri kwa sanamu na kwa roho za waliokufa, 2 kwa waaguzi na kwa wale waongeao na mizimu. 1

Read all of Isaiah 19

Cross References

Judges 7:22Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera + 7:22 Au: Seretha. hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.

1 Samuel 14:16Wapelelezi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaona jeshi likitokomea pande zote.

1 Kings 16:21Ndipo watu wa Israeli wakagawanyika katika makundi mawili, nusu wakamuunga mkono Tibni mwana wa Ginathi ili awe mfalme na nusu nyingine wakamuunga mkono Omri.

2 Chronicles 20:22Walipoanza kuimba na kusifu, Bwana akaweka waviziao dhidi ya watu wa Amoni, Moabu na wale wa Mlima Seiri waliokuwa wamekuja kuishambulia Yuda, nao wakashindwa.

Isaiah 9:21Manase atamla Efraimu, 2 naye Efraimu atamla Manase; 2 nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu.

Ezekiel 38:21Nitaita upanga vita dhidi ya Gogu juu ya milima yangu yote, asema Bwana Mwenyezi. Upanga wa kila mtu utakuwa dhidi ya ndugu yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 19:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 19:1Isaiah 19Isaiah 19:3 →