Isaya 19:22
Bwana ataipiga Misri kwa tauni; atawapiga na kuwaponya. Watamgeukia Bwana, naye atayasikia maombi yao na kuwaponya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 8:4Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
2 Kings 20:5“Rudi ukamwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako; nitakuponya. Siku ya tatu kuanzia sasa utapanda kwenda Hekalu la Bwana.
Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”
Isaiah 45:14Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mazao ya Misri na bidhaa za Kushi, 2 nao wale Waseba warefu, 1 watakujia na kuwa wako, 2 watakujia wakijikokota nyuma yako, 2 watakujia wamefungwa minyororo. 1 Watasujudu mbele yako 2 wakikusihi na kusema, 1 ‘Hakika Mungu yu pamoja nawe, 2 wala hakuna mwingine; 2 hakuna Mungu mwingine.’ ” 1
Ezekiel 29:13“ ‘Lakini hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mwishoni mwa hiyo miaka arobaini, nitawakusanya Wamisri kutoka mataifa walikotawanywa.
Hosea 6:2Baada ya siku mbili atatufufua; 2 katika siku ya tatu atatuinua, 2 ili tuweze kuishi mbele zake. 1