The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 19 › Isaiah 19:6

Isaiah 19:6

Mifereji itanuka; 2 vijito vya Misri vitapungua 2 na kukauka. 1 Mafunjo na nyasi vitanyauka, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they shall turn the rivers far away; and the brooks of defence shall be emptied and dried up: the reeds and flags shall wither.

In Context

5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1

7pia mimea iliyoko kando ya Mto Naili, 2 pale mto unapomwaga maji baharini. 1 Kila shamba lililopandwa kando ya Mto Naili litakauka, 2 litapeperushwa na kutoweka kabisa. 1

Read all of Isaiah 19

Cross References

Exodus 2:3Lakini alipoona hawezi kumficha zaidi, akamtengenezea kisafina cha mafunjo, akakipaka lami. Kisha akamweka huyo mtoto ndani yake, akakificha katikati ya matete kando ya ukingo wa Mto Naili.

2 Kings 19:24Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.” 1

Job 8:12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, 2 hunyauka haraka kuliko majani mengine. 1

Isaiah 18:2iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari 2 kwa mashua za mafunjo juu ya maji. 1 Nendeni, wajumbe wepesi, 2 kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo, 2 kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu, 1 taifa gomvi lenye lugha ngeni, 2 ambalo nchi yao imegawanywa kwa mito. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 19:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 19:5Isaiah 19Isaiah 19:7 →