The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 2 › Genesis 2:7

Genesis 2:7

Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul.

In Context

6lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi:

8Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.

Read all of Genesis 2

Cross References

Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”

Genesis 7:22Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.

Numbers 27:16“ Bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii

Job 27:3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1

Job 33:6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; 2 mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 1

Psalms 103:14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, 2 anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 2:6Genesis 2Genesis 2:8 →