The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:28

Yeremia 49:28

Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Inuka, ushambulie Kedari 2 na kuwaangamiza watu wa mashariki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Concerning Kedar, and concerning the kingdoms of Hazor, which Nebuchadrezzar king of Babylon shall smite, thus saith the LORD; Arise ye, go up to Kedar, and spoil the men of the east.

In Context

27“Nitatia moto kuta za Dameski; 2 utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” 1 Ujumbe Kuhusu Kedari Na Hazori

29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; 2 vibanda vyao vitatwaliwa 2 pamoja na mali zao zote na ngamia zao. 1 Watu watawapigia kelele, 2 ‘Hofu kuu iko kila upande!’ 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Genesis 25:13Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

1 Chronicles 1:29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: 2 Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

Psalms 120:5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1

Isaiah 11:14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti 2 hadi upande wa magharibi, 1 kwa pamoja watawateka watu nyara 2 hadi upande wa mashariki. 1 Watawapiga Edomu na Moabu, 2 na Waamoni watatawaliwa nao. 1

Isaiah 21:13Neno kuhusu Arabia: 1 Enyi misafara ya Wadedani, 2 mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, 1

Isaiah 42:11Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao; 2 makao anamoishi Kedari na yashangilie. 1 Watu wa Sela waimbe kwa furaha, 2 na wapige kelele kutoka vilele vya milima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:27Yeremia 49Yeremia 49:29 →