The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:20

Isaiah 13:20

Hautakaliwa na watu kamwe 2 wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote. 1 Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko, 2 hakuna mchungaji atakayepumzisha makundi yake huko. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It shall never be inhabited, neither shall it be dwelt in from generation to generation: neither shall the Arabian pitch tent there; neither shall the shepherds make their fold there.

In Context

19Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1

21Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, 2 mbweha watajaza nyumba zake, 1 bundi wataishi humo 2 nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

2 Chronicles 17:11Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700.

Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru

Isaiah 34:10Haitazimishwa usiku wala mchana, 2 moshi wake utapaa juu milele. 1 Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, 2 hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. 1

Jeremiah 50:3Taifa kutoka kaskazini litamshambulia, 2 na kuifanya nchi yake ukiwa. 1 Hakuna hata mmoja atakayeishi ndani yake, 2 watu na wanyama wataikimbia. 1

Jeremiah 50:21“Shambulieni nchi ya Merathaimu 2 na wale waishio huko Pekodi. 1 Wafuatieni, waueni 2 na kuwaangamiza kabisa,” 4 asema Bwana. 2 “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru. 1

Jeremiah 50:45Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Babeli, 2 kile alichokusudia dhidi ya nchi ya Wakaldayo: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali. 2 Yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:19Isaiah 13Isaiah 13:21 →